Isaiah 42:11-13


11 aJangwa na miji yake na vipaze sauti zao;
makao anamoishi Kedari na yashangilie.
Watu wa Sela waimbe kwa furaha,
na wapige kelele kutoka vilele vya milima.

12 bWampe Bwana utukufu,
na kutangaza sifa zake katika visiwa.

13 c Bwana ataenda kama mtu mwenye nguvu,
kama shujaa atachochea shauku yake,
kwa kelele ataamsha kilio cha vita,
naye atashinda adui zake.

Copyright information for SwhKC